Nawezaje kutengeneza hela?

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
Jukwaa hili limekuwa halina fursa za kazi ama ajira kwa muda mrefu.

Hali hii inawasononesha sana vijana waliomtaani ambao wanasubiri nafasi za ajira au tenda zitangazwe kupitia jukwaa hili.

Hivyo kwa moyo mkunjufu naomba kwa mtu yeyote aliye na wazo ambalo linaweza kumsaidia kijana aliyemtaani aweze kutengeneza (kupata) japo elfu tano kwa siku aliweke hapa. Wazo lolote, liwe linahitaji mtaji au halihitaji mtaji.

Ahsanteni. Naomba kuwasilisha
 
Nenda kwenye jukwaa la ujasiriamali, utapata mawazo kibao huko.
 
Nenda kwenye jukwaa la ujasiriamali, utapata mawazo kibao huko.
aangalie orodha huko ulikomwelekeza. nakumbuka kuna list za kuuza karanga, kutembeza maji ya kunywa, mandazi, mikate, n.k
 
Back
Top Bottom