Nawezaje kupata UNLIMITED INTERNET (Bando) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Messages
904
Points
1,000

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2016
904 1,000
Naomba kujua jinsi ya kupata Unlimited Bando kwa matumizi ya Ofisini, kutoka kwenye kampuni za simu iwe Tigo, TTCL, Voda, Airtel, Halotel etc ila iwe na kasi ya 4G au 3G.

Bando liwe ni la mwezi au wiki na naomba na gharama zake kama unafahamu kampuni zinazotoa huduma hii....

THE SNIPER.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,783
Points
2,000

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,783 2,000
75,000 smart unlimited 4G kwa mwezi hao ndio wa uhakika, na wiki ni 30,000

4G LTE – TZ

huyu kuna kipindi alikuwa anawatumia
Kang

kama upo nje ya dar ni 20,000 tu kwa mwezi unlimited 3G

smile pia wanazo unlimited bei sawa na smart, ila wadau wanasema ukitumia kiasi fulani speed ina drop

Smile Unlimited – Smile – Now you can
 

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,632
Points
2,000

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,632 2,000
pia kama upo maeneo ja mjini, kinondoni, masaki, etc angalia broadband za zuku na maisha broadband around laki 1 unlimited 1mbps.
zuku washaanza kutoa Broadband Tanzania?

Mbona kicheki site yao hawajasema ni laki 1 moja wala hawajataja kama ni 1Mbps japo installation fee inaonesha ni 99,000/= ambayo ni one time fee.
Unakua umebakiza kuwa unalipia package ya channel kila mwezi

Fiber Packages - Zuku
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,783
Points
2,000

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,783 2,000
zuku washaanza kutoa Broadband Tanzania?

Mbona kicheki site yao hawajasema ni laki 1 moja wala hawajataja kama ni 1Mbps japo installation fee inaonesha ni 99,000/= ambayo ni one time fee.
Unakua umebakiza kuwa unalipia package ya channel kila mwezi

Fiber Packages - Zuku
umeeka hio link namimi nimeingia naona wamebadili au siioni vizuri kwa simu, kifurushi cha zuku kilikuwa 89,000 kwa mwezi waliandika. ngoja nitaangalia vizuri baadae kama kuna link tofauti.

na hio 1mbps nimeipata kwenye hio mbps walioaandika bila namba
 

Forum statistics

Threads 1,391,134
Members 528,373
Posts 34,074,456
Top