Nawezaje kupata TIN Certificate ya taasisi (Registered NGO)?

Mr Excel

JF-Expert Member
Jul 31, 2021
526
1,643
Habari za Asubuhi

Naomba mnisaidie utaratibu ili niweze kupata TIN certificate. Kwa ajili ya Organization imesajiliwa kisheria ngazi ya Kitaifa.

Ahsante.
 
Fika TRA wewe na na wenzio watatu mkiwa na vitambulisho vya KuRa au Nida na TIN namba

Baada ya hapo mtajaza form za kuptiwa TIN.

Bila kusahau kuwa na mkataba wa ofisi, cheti cha usajili, katiba iliyosajiliwa etc.
Hapo nimekupata Mkuu, Asante sana.
Kumbe ni simple
 
Fika TRA wewe na na wenzio watatu mkiwa na vitambulisho vya KuRa au Nida na TIN namba

Baada ya hapo mtajaza form za kuptiwa TIN.

Bila kusahau kuwa na mkataba wa ofisi, cheti cha usajili, katiba iliyosajiliwa etc.
Labda inaweza kuchukua muda gani hadi kupata certificate? Baada ya kujaza fomu na kufuata taratibu zote
 
Hapana hawalipi kodi.
Ila kuna maeneo mengine km utahitaji kuanzisha miradi ya biashara mikubwa kwa ajili ya NGO yako ndy lzm uwe na TIN certificate
Sio biashara tu, hata kulipa mishahara... Kuagiza vitu, kununua, umepata ufadhili lazima TIN iusike mamlaka wakuombe
 
Uache kukwama sasa, yaani tangu uombe muongozo mwezi uliopita ndio unarudi mwezi huu
Yeah ni kweli Mkuu.
Nipo napambania Taasisi ndy kwanza mpya ina mwaka1 tu till now hvy mambo mengi ndy najitahd kuyaweka sawa
 
Hawa jamaa waliniambia kwmba kma NGO ikakua na ikawa inaingiza faida hapo ndipo watapaswa kujikadiria na kuanzishiwa mfumo wa kulipa kodi.
Pia nimeona katika kusajili laini ya simu kwa jina la NGO ni lazima uwe na TIN no. Ya taasisi, pia bank accounts, umiliki na ununuzi wa vyombo vya moto kwa ajili ya taasisi.
 
Back
Top Bottom