Nawezaje kupata namba ya NSSF online/ mtandaoni?

G-stev

Member
Aug 24, 2020
9
2
Wakuu nimepoteza namba yangu ya NSSF, je naweza ipata kwa njia ya mtandao/ online?

Msaada wenu kama naweza ipata kupitia mtandao.
 
Duuh.. sorry mkuu.. ebu weka maelezo sawa, umepoteza namba ipi?? Ya uwanachama au?? Na kama ni ya uwanachama, basi sio kupoteza, bali umesahau, nenda kwenye ofisi zao watakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom