Nawezaje Kupata Kazi Nje ya Nchi?

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,738
995
Nina fani ya udaktari, ninawezaje kufanya kazi nje ya Nchi, Namibia, Liberia, na Botswana?
 
tafuta bwana wa nchi husika,wengi wamefanikiwa hivyo....tanzania ulipe mkopo wetu tu hlf tafuta mawakala wakuweke sehemu za maana km saud arabia mshahara milion 8na kila kitu unapewa kwa professional hiyo
 
Huko akienda atajuta kwa kutukanwa kila siku ataitwa Punda,Kima jina litakalokuja ndio hilo hilo.
 
Google . ..UN organizations . .wana nafasi nyingi sana . ..lakini kwenye nchi hatarishi ..pesa yake ndefu sana...good luck!
 
>>> BOTSWANA if YOU hav ka DEGREE first PAY million 17 TSH cash per month>>go go go dont lose hope...
 
hv na pharmacist wanachukuliwa huko saudi arabia botswana UN oganization cjui congo au ni MD tu mnijuze tafadhari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom