Udaktari level gani,uzoefu etcNina fani ya udaktari, ninawezaje kufanya kazi nje ya Nchi, Namibia, Liberia, na Botswana?
Huko akienda atajuta kwa kutukanwa kila siku ataitwa Punda,Kima jina litakalokuja ndio hilo hilo.tafuta bwana wa nchi husika,wengi wamefanikiwa hivyo....tanzania ulipe mkopo wetu tu hlf tafuta mawakala wakuweke sehemu za maana km saud arabia mshahara milion 8na kila kitu unapewa kwa professional hiyo
huko ni kujichocha baki hapa hapa nyumban tunakuhitaj jaman.Nina fani ya udaktari, ninawezaje kufanya kazi nje ya Nchi, Namibia, Liberia, na Botswana?
Google . ..UN organizations . .wana nafasi nyingi sana . ..lakini kwenye nchi hatarishi ..pesa yake ndefu sana...good luck!
Nina fani ya udaktari, ninawezaje kufanya kazi nje ya Nchi, Namibia, Liberia, na Botswana?
Find Overseas Jobs and Employment, International Careers and Contracts and other Employment Opportunities and Resources at OverseasJobs.comNina fani ya udaktari, ninawezaje kufanya kazi nje ya Nchi, Namibia, Liberia, na Botswana?