American Ninja
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 224
- 304
Habari wazee, Ni njia gani ninayoweza kuitumia kupata Internet yenye speed kwa bei rahisi hapa DSM. Now Days natumia Smile, Ila naona hawaeleweki, Speed yao ni sawa na 3G
Package yao ya mwezi ikojeNjia ni kujisajili na Zantel tu. Upewe 1GB siku 3 na unaruhusiwa kujiunga mara nyingi uwezavyo.
Mtandao wao ni 4G
Ni maeneo hayohayo?Hio cheap ni kiasi gani? Kuna fiber za kutosha maeneo ya kkoo, mjini posta, upanga, kinondoni ya morocco, mikocheni, masaki obey etc. Bei around 70k mpaka 75k na speed 10mbps.
Na yanayofanania karibu na hapo, maana ni gharama kutoa waya mjini hadi mwananyamala kumpelekea internet mtu mmoja.Ni maeneo hayohayo?
Nimekuelewa mzeeNa yanayofanania karibu na hapo, maana ni gharama kutoa waya mjini hadi mwananyamala kumpelekea internet mtu mmoja.
Mtandao gani huu??Hio cheap ni kiasi gani? Kuna fiber za kutosha maeneo ya kkoo, mjini posta, upanga, kinondoni ya morocco, mikocheni, masaki obey etc. Bei around 70k mpaka 75k na speed 10mbps.
Kuna zuku, Raha, Gofiber etc.Mtandao gani huu??
Ukilipia 75000 Bundles zao zinakuaje kwa mwezi?Kuna zuku, Raha, Gofiber etc.
Gofiber walikuwa na offer imeisha juzi juzi hapa kariakoo, unalipia miezi 3 @75,000 kwa mwezi wanakufanyia installation bure.
Unlimited mkuu speed 10mbps, hakuna limit unatumia tu kadri unavyoweza.Ukilipia 75000 Bundles zao zinakuaje kwa mwezi?
Duh! Ni Balaa kuna haja ya kuhamia hizo pande ulizonielekeza. Asante sana maana nilikuwa silijui hiliUnlimited mkuu speed 10mbps, hakuna limit unatumia tu kadri unavyoweza.
Unlimited mkuu speed 10mbps, hakuna limit unatumia tu kadri unavyoweza.
Kuna fibre kinyerezi mkuu?Unlimited mkuu speed 10mbps, hakuna limit unatumia tu kadri unavyoweza.
Ninavyofahamu zipo tu mjini na maeneo ya pembezoni Kama kinondoni.Kuna fibre kinyerezi mkuu?