Nawezaje kupata Internet yenye speed DSM kwa Cheap Price

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
4,377
Points
2,000

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
4,377 2,000
mzee mbona swali ni rahisi ila umelifanya liwe gumu?

Kwa maelezo yako basi tatzo ni internet provider wako, hao smile

slow internet inaweza kuchangiwa na
location,
phone,
physical structure special metals na power source,
number of users,
viruses,
background apps,
n.k n.k

sasa sijui je hilo tatzo limeanza katikat au tangu unaanza kutumia huo mtandao.

BTW voda wapo vizuri zaid, unless km tatzo ni bandwith za simu.
 

Forum statistics

Threads 1,388,856
Members 527,817
Posts 34,012,298
Top