NAWEZAJE KUPATA CONNECTION NA NATIONAL GEOGRAPHIC

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
1,064
Points
2,000

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
1,064 2,000
Habari zenu wana jamii forum
Kwa muda sasa nimekuwa nikitamani kufanya kazi na NATIONAL GEOGRAPHIC kama EXPLORER NA KUWEZA KUTEMBELEA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI KUDISCOVER ISSUES ZA MAZINGIRA LAKINI TATIZO KWANGU NI STARTING POINT......vipi nawezaje kupata connection na hawa jamaa hata nikawa explorer wao kwa hapa tanzania.Mwenye ufahamu naomba anisaidie na nitashukuru sana na mungu atawabariki
 
ivunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Messages
1,576
Points
2,000

ivunya

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2015
1,576 2,000
Kuna research hawa National Geographic wamezito Nadhan ungefuatilia ukaanza kufanyia kazi hizo na utapata mawasiliano yao. (NATIONAL GEOGRAPHIC HAS FUNDED, 12,500 RESEARCH GRANT) kama utafuatilia itakuwa vizuri, Tena Kuna Mtanzani ninamuona kwenye Tangazo la research grant
 
Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
1,064
Points
2,000

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
1,064 2,000
Kuna research hawa National Geographic wamezito Nadhan ungefuatilia ukaanza kufanyia kazi hizo na utapata mawasiliano yao. (NATIONAL GEOGRAPHIC HAS FUNDED, 12,500 RESEARCH GRANT) kama utafuatilia itakuwa vizuri, Tena Kuna Mtanzani ninamuona kwenye Tangazo la research grant
Asante mkuu kwa kunionyesha mwanga,sema tu sijaliona hilo tangazo la research ila nashukuru
 
GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Messages
1,477
Points
2,000

GwaB

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2014
1,477 2,000
Anzia TBC, Ile channel yao mpya ya Tanzania Safari Channel ndio ngazi ya kupandia, Watembelee TANAPA na Bodi ya Utalii.Fursa ndio hii na wakati ni muafaka.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
9,404
Points
2,000

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
9,404 2,000
Habari zenu wana jamii forum
Kwa muda sasa nimekuwa nikitamani kufanya kazi na NATIONAL GEOGRAPHIC kama EXPLORER NA KUWEZA KUTEMBELEA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI KUDISCOVER ISSUES ZA MAZINGIRA LAKINI TATIZO KWANGU NI STARTING POINT......vipi nawezaje kupata connection na hawa jamaa hata nikawa explorer wao kwa hapa tanzania.Mwenye ufahamu naomba anisaidie na nitashukuru sana na mungu atawabariki
Kwa kuanzia weka CV yako hapa tuuone uzoefu wako na ulichokifanya ndio tuanzie hapo,lakini unaweza kuona kwenye site yao
 
enhe

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
1,682
Points
2,000

enhe

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
1,682 2,000
Habari zenu wana jamii forum
Kwa muda sasa nimekuwa nikitamani kufanya kazi na NATIONAL GEOGRAPHIC kama EXPLORER NA KUWEZA KUTEMBELEA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI KUDISCOVER ISSUES ZA MAZINGIRA LAKINI TATIZO KWANGU NI STARTING POINT......vipi nawezaje kupata connection na hawa jamaa hata nikawa explorer wao kwa hapa tanzania.Mwenye ufahamu naomba anisaidie na nitashukuru sana na mungu atawabariki
Hawana Website? Kwenye website yao si kuna sehemu ya Contact. Yaani binafsi naona huna sifa kabisaaa kutokana ma ulichokiuliza hapa.
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
6,985
Points
2,000

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
6,985 2,000
Wale jamaa wanafadhili mamilioni ya tafiti duniani..Fanya kucheki nao..penye ni pana njia,cha muhimu jiridhishe kwa taarifa sahihi.
 
Forum statistics

Threads 1,392,834
Members 528,729
Posts 34,119,243
Top