Nawezaje kupata ajira za Madereva wa Kusambaza Vifaa vya Uchaguzi

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,955
2,166
Heshima kwenu wakuu.

Natumai mpo vyema kabisa, hii wiki iliyoisha niliona habari kuwa tume ya Uchaguzi imepokea magari kwa ajili ya kusambaza vifaa vya Uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.

Hizi ajira za hawa madereva zinapatikana vipi wakuu natumai wakubwa wanapitia humu JamiiForum, kama kuna yeyote mwenye connection au ABC ya kupata hizo nafasi tupeane connection wakuu mtaani hali sio hali kabisa wakuu.

Kama unahusika kwa njia moja au nyingine au kama kuna mtu unamfahamu anaweza akasaidia katika hili naomba tujulishane wakuu.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu.

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom