Nawezaje kupanga katika apartment ya NHC

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,104
7,857
Nawaza kutafuta na kupanga katika apartment ya NHC iliyo katika standard nzuri ingawa iwe katika gharama za kawaida. Ningependelea iwe wilaya ya Kinondoni.

Embu tufahamishane taratibu ni zipi kufanikisha hilo?

Na pia kuna watu wanaweza kushare uzoefu wao katika huduma na ubora unaopatikana kwenye hizi apartment na changamoto zake?
 
Back
Top Bottom