Hplary
Member
- Mar 31, 2017
- 67
- 56
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, mimi ni mtumiaji mzuri sana wa simu zinazotumia mfumo tajwa hapo( android),. Lakini ndani ya siku kadhaa zilizopita kumetokea aina mpya ya matangazo ambayo yanajitokeza pindi unapowasha DATA na kutawala screen nzima ya simu nimejaribu kufanya namna ya kuyatoa au kudisable nimeshindwa, nimejaribu kuondoa baadhi ya Application nikidhani pengine ndio zinaleta matangazo haya lakini jitihada zimegonga mwamba. Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba msaada kwa wanajamii wezangu,
Hizi picha ni namna yanavyotekea kwenye simu yangu
Hizi picha ni namna yanavyotekea kwenye simu yangu