Nawezaje kuona mada zote za mtu wa humu JF kama zamani?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
Nakumbuka zamani mfano nikitaka kuona nyuzi za member fulani humu jamiiforums naminya profile yake nakuta kuna kitufe cha kuangalia threads zake zote.

Ila baada ya kile kipindi JamiiForums kulinda taarifa za watu zisionekane kama email waliyojisajilia basi hii ishu ikabana hadi kusiwe na ile option ya kutazaman nyuzi zote.

Nawezaje kwamfano
 
Back
Top Bottom