Nawezaje kujua mtoto ni wangu au si wangu bila kutumia DNA?

Jun 17, 2019
92
79
Naombeni msaada wa wenye ujuzi na njia rahisi ya kumtambua mtoto kua ni damu yako au sio damu yako pasipo kupima DNA.

Umri wa mtoto usiozidi miaka mitano.

Naombeni msaada huo.

Nawakilisha!
 
Angalia alama za kiganja Kama zinafanana. Kama hazifanani utakuwa umepigwa ukitaka uhakika mpeleke kwa wazazi ama shangazi wao wanajua kuwa hii ni damu yao au la.
Hizi alama kamwe huwezi kukuta zakufanana kati ya binadamu wawili. Yani ni unique pattern kwa kila mtu. Hata awe mzazi wake hazitafanana.

Ni sawa na strips za punda milia. Kila mmoja ana pattern yake ya tofauti na mwenzake.

Au nasema uongo wanasayansi wenzangu?
 
We hujui utakuwa huna damu yako mwanao lazima ufanane viganja.
 
Naombeni msaada wa wenye ujuzi na njia rahis ya kumtambua mtoto kua ni damu yako au sio damu yako pasipo kupima DNA.
UMRI WA MTOTO USIOZIDI MIAKA MITANO.
naombeni MSAADA huo.

Nawakilisha!
Angalia kuha za mikononyako na yake na miguu vile vile angalia maho kama yanafanana na moja wa ndg zako na la mwisho siku umetunga mimba na makaridio ya kuzaliwa mtoto..... Kitanda hakizai harama mkuu we leo tu hata baba yako we si mwanaye mwendo ni ule ule
 
Hizi alama kamwe huwezi kukuta zakufanana kati ya binadamu wawili. Yani ni unique pattern kwa kila mtu. Hata awe mzazi wake hazitafanana.

Ni sawa na strips za punda milia. Kila mmoja ana pattern yake ya tofauti na mwenzake.

Au nasema uongo wanasayansi wenzangu?
100%
 
Mi mwenyewe kiganja cha kushoto hakifanan pattern print naza kiganja kulia naona kina sehem zinatofautiana.
 
Hizi alama kamwe huwezi kukuta zakufanana kati ya binadamu wawili. Yani ni unique pattern kwa kila mtu. Hata awe mzazi wake hazitafanana.

Ni sawa na strips za punda milia. Kila mmoja ana pattern yake ya tofauti na mwenzake.

Au nasema uongo wanasayansi wenzan
Mkuu fingerprint ndio Kila mtu ana yake ila alama katika viganja ni lazima zifananae mm na mzee na madogo wote zipo sawa .Kama Kuna kipindi walikuwa wanatafutwa wale wenye alama ya m kwenye viganja ukifuatilia utakuta wote ndugu zake ipo alama ya m.hii tunatumia vijijini na uhakika asilimia 100.
 
Back
Top Bottom