Nawezaje kujua hii simu kama ni Original, Fake au copy?

Naona mnampepeta tu jamaa, wengine mnasema ndio yenyewe wengine mnasema kapigwa, Sasa which is which?
 
Naona mnampepeta tu jamaa, wengine mnasema ndio yenyewe wengine mnasema kapigwa, Sasa which is which?
Hahahaha Mimi Sina uzoefu sana na simu ila hii haijanibariki sana kwa kweli, very expensive kwa level yangu Ila sidhani kama nimepata nilichotAka
 
Wakuu tumalize hili suala! Nimepigwa? Maana hata battery haikai kihivyo
 
Nimekutafutia picha ya usiku kama uliyoweka ukiwa umezima taa. Simu hiyohiyo
IMG_20211021_183449.jpg
 
Bwana PGO nenda kwenye settings alafu weka refresh rate iwe 60Hz kwa kuwa umesema sio mtaalamu wa simu basi ukiweka 120Hz hutoona tofauti sana wala huchezi games.

Nenda kwenye settings ya interest zuia multiple 4G, weka 4G itumike kwenye laini yenye internet connection pekee. Kadri unavyotumia G kubwa zaidi ndivyo unavyokula chaji, hata 5G ndio kabisaa kwa simu zenye nayo.

Kwenye ubora wa camera tutakupa GCam mods uwe na camera kali zaidi kuliko hiyo stock camera

Zuia background data kwenye settings ili apps zisizo muhimu zisirun kwenye background kuzuia matumizi ya chaji na data.

Ukishindwa yote weka power save. Umesema sio mtumiaji mkubwa hivyo inakufikisha usiku kwa chaji moja bila power save. Charging yake ni 30W inajaa ndani ya dakika kama 45 usiilaze chaji
 
Kujua kama ni original which I believe ni original kweli. Nenda kwenye website ya Xiaomi www.mi com kisha pale juu bofya kwenye Product Authentication, weka IMEI kati ya hizo na uweke verification code unayooneshwa. Hapo utaambiwa aina hiyo ya simu
 
Usiwashe 4g kila wakati kama huna matumizi nayo. Ndo inamaliza moto.

Mzigo wote huo achana na infinix, infinix ni calculator yenye kioo.
Kama infinix ni calculator sisi tunaotumia sparck si ndio mtasema tunatumia goroka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom