Nawezaje Kujizuia ili Nisiwe Na Wivu????

Penda kuwa cul usimuoneshe kuwa una mawivu coz huwa wanacheka na kujisikia raha sana.Kila mtu ana wivu haswa mukiwa mbali cha kufanya tafuta kademu alafu mzarau kwa si lolote si chochote hata kama anakucheat ili umuhamishie hali hiyo ya wivu yeye.WENZIO HUWA TUNAUMIA ILA HATUFOKI WALA NIN TUNAKAUSHA ILI AJIONE *****.
 
Wakuu.

Nina Girlfriend ambae yupo mbali na mimi kiasi kwamba tunaweza kukaa almost 6 months hatujaonana ila tatizo nililonalo ni kwamba nina wivu kupita kiasi.

Nimegombana nae mara nyingi sana na hata kufikia hatua ya kum-cheat ili kupunguza hasira zangu still bado tatizo langu sikuweza kuliondoa. wivu wangu hasa unakuja ninapompigia simu na endapo simu yake haitapokelewa kwa wakati aukukuta ipo busy ndipo wivu huongezeka mara dufu na always nafikiria ku-cheat ili kupunguza hasira zangu.

Je nifanye nini ili kuondokana na hii tabia ya kuwa na wivu??

:thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking:

Wala huna wivu usingemwachia awe mbali nawe. Wewe una mahamu nae tu ,mweke karibu utajisikia kutafuta nyumba ndogo!
 
Back
Top Bottom