Nawezaje kujiunga Jukwaa Huru la Wazalendo?

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,306
Wakuu habari za muda,

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa machanganuo ya jukwaa huru la wazalendo. Nimepatwa na hamasa ya kuwa mjumbe wa hili jukwaa la wazalendo. Nifanyeje ili nitimize hii ndoto.

Nawasilisha
 
Kwanza kuwa mzalendo kwa kutuwezesha
 
Sasa ni dhahiri wewe si Mzalendo.
Mkuu mi ni mzalendo mkubwa sana. Unajua kuna vitu vingi vya kuchangia, na inategemea na mahitaji ya jukwaa. Unaweza kuchangia hiki,kumbe tayari kipo, kuna chenye umuhimu zaidi, ndio maana nikakuambia fafanua
 
Sasa nimeamini wewe ni mzalendo wa kweli.
 
Mkuu mi ni mzalendo mkubwa sana. Unajua kuna vitu vingi vya kuchangia, na inategemea na mahitaji ya jukwaa. Unaweza kuchangia hiki,kumbe tayari kipo, kuna chenye umuhimu zaidi, ndio maana nikakuambia fafanua
Mwampamba kaenda mbeya,subiri akirudi atakupa maelekezo jinsi ya kujiunga nao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom