Kwanza kuwa mzalendo kwa kutuwezeshaWakuu habari za muda,
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa machanganuo ya jukwaa huru la wazalendo. Nimepatwa na hamasa ya kuwa mjumbe wa hili jukwaa la wazalendo. Nifanyeje ili nitimize hii ndoto.
Nawasilisha
Fafanua kivipiKwanza kuwa mzalendo kwa kutuwezesha
Sasa ni dhahiri wewe si Mzalendo.Fafanua kivipi
Mkuu mi ni mzalendo mkubwa sana. Unajua kuna vitu vingi vya kuchangia, na inategemea na mahitaji ya jukwaa. Unaweza kuchangia hiki,kumbe tayari kipo, kuna chenye umuhimu zaidi, ndio maana nikakuambia fafanuaSasa ni dhahiri wewe si Mzalendo.
Sasa nimeamini wewe ni mzalendo wa kweli.Mkuu mi ni mzalendo mkubwa sana. Unajua kuna vitu vingi vya kuchangia, na inategemea na mahitaji ya jukwaa. Unaweza kuchangia hiki,kumbe tayari kipo, kuna chenye umuhimu zaidi, ndio maana nikakuambia fafanua
Muulize mwampambaWakuu habari za muda,
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa machanganuo ya jukwaa huru la wazalendo. Nimepatwa na hamasa ya kuwa mjumbe wa hili jukwaa la wazalendo. Nifanyeje ili nitimize hii ndoto.
Nawasilisha
Mwampamba kaenda mbeya,subiri akirudi atakupa maelekezo jinsi ya kujiunga naoMkuu mi ni mzalendo mkubwa sana. Unajua kuna vitu vingi vya kuchangia, na inategemea na mahitaji ya jukwaa. Unaweza kuchangia hiki,kumbe tayari kipo, kuna chenye umuhimu zaidi, ndio maana nikakuambia fafanua
Ahsante mkuu kwa taarifa hiiMwampamba kaenda mbeya,subiri akirudi atakupa maelekezo jinsi ya kujiunga nao
Nawewe unataka u DC?Wakuu habari za muda,
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa machanganuo ya jukwaa huru la wazalendo. Nimepatwa na hamasa ya kuwa mjumbe wa hili jukwaa la wazalendo. Nifanyeje ili nitimize hii ndoto.
Nawasilisha
Inabidi kwanza uwe mnafiki.
Pili uwe unajua kujipendekeza.
Mkuu mi sitafuti vyeo, nataka kulitumikia Taifa kwa aina nyingineTatu uwe ni mtu anayeutafuta ukuu wa Wilaya.
Na uwe na ndoto za kuwa DC.Inabidi kwanza uwe mnafiki.
Pili uwe unajua kujipendekeza.
Amiiiina mkuuAhsante mkuu kwa taarifa hii