Nawezaje kuishtaki Vodacom kwa udanganyifu huu?

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
519
1,000
Vodacom wana kifurushi cha SMS bila kikomo kwa siku 30, lakini kumbe hizo SMS zina kikomo cha SMS 5000 tu.

Sasa kwa mantiki hiyo Vodacom wanadanganya wateja wao na mimi nikiwa mmoja wao.
Sasa nifanyeje niwashtaki kwa kunidanganya.
 
Love Doctor

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
207
250
VODACOM wana kifurushi cha SMS BILA KIKOMO kwa siku 30,lakini kumbe hizo SMS zina kikomo cha SMS 5000 tu.
sasa kwa mantiki hiyo VODACOM wanadanganya wateja wao na mimi nikiwa mmoja wao.
sasa nifanyeje niwashtaki kwa kunidanganya.
Umemaliza bila kikomo mkuu
 
Bacary Superior

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
3,745
2,000
Chukulia upo kwenye mkataba, but before haujasaini kunakuwa na vigezo na masharti, lazima viwe disclosed before contract haijakuwa executed, kama unaponunua iko kifurushi wamesema bila kikomo hawajasema idadi ya sms, mpaka ule wakati wa unakubali kununua ndio unapewa taarifa kuwa ni sms 5000, huo mkataba unaweza kuwashtaki kama haujatumia ata sms moja, but ukianza kutumia tu basi umekubaliana nao.
 
D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
2,879

Hawakwambii ni ngapi mpaka umalize ndipo utashtuka sms haziendi
 
Maarab

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
418
250
Voda pumbaf sana hao..leo imenikuta..nimepgiwa sm naCustomer care wao akadai we flani bin flan? nikamwmbia Naam..akasema Mpesa inataka wakupe Bonus kwa Mpesa yako ya vile namna ulitumikia Acc yako sasa aknipga Swali lastime umeeka lini pesa na uko na Kiac gan kwa Acc yako..?? "duh nikashndwa niseme namna gani ila nikamwambia Mkuu we kama unanipa bonus nipatie tu,mbona unaniuliza Maswali mengi kama tuko radio One..akajbu anyway Check Acc yako aftr 4Mnts ntaku'call hadi hivi sijapigiwA wala bonus sikuona..!!
 
famicho

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,897

Matapeli hao

from Katesh using Siemens C55
 
ungetapeliwa haraka,
jamaa yangu alipigiwa simu hivo hivo tukashangilia,ila badae tuligundua ni tapeli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom