Nawezaje kuingiza kampuni yangu GPSA?

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
138
Wana jf naomba kwa anayejua anijulishe ni utaratibu gani unafuatwa ili kuingiza kampun kwenye list ya service provider ya government procurement services agency,na ina faida gani kwa kampun kuorodheshwa?
 
FGPSA, huwa inatoa matangazo yake ya wazabuni ambao inawataka washirikishwe kwenye Framework Contract ya Common Use Items and services (CUSS) kwa mwaka. na matangazo haya huwa wazi kwenye magazeti ya serikali kila inapokaribia mwaka wa fedha mpya kuanza. zaidi ya yote Tembelea Ofisi zao, watakupa support ya kutosha.. tena kama ndo unaacha "kikaratasi..!!" utatengenezewa hadi mkeka wa bid-document.. Good luck
 
<br />
<br />
Asante kwa ushauri mkuu
 
na kama umechelewa au hukuona hilo gazeti la matangazo je hakuna njia nyingine ya kujisajili
 
nenda ofisi zozote za GPSA utapewa maelezo.matangazo yalitoka feb 2012.wahi sasa kabla hujachelewa.pia waweza kutembelea website yao.
 
nimewahi kwenda ofisini kwao,wakaniambia kujisajili ni bure na hufanyika online,forms zipo kwenye website yao
 
FGPSA, huwa inatoa matangazo yake ya wazabuni ambao inawataka washirikishwe kwenye Framework Contract ya Common Use Items and services (CUSS) kwa mwaka. na matangazo haya huwa wazi kwenye magazeti ya serikali kila inapokaribia mwaka wa fedha mpya kuanza. zaidi ya yote Tembelea Ofisi zao, watakupa support ya kutosha.. tena kama ndo unaacha "kikaratasi..!!" utatengenezewa hadi mkeka wa bid-document.. Good luck
Mkuu nimeku pm
 
Back
Top Bottom