Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 796
- 1,264
Heshima kwenu wakuu
Naomba msaada, hivi nawezaje kudownload movie za netflix
Yaan nna laptop,nataka nidownload movie kutoka netfl;ix na kulisave file la iyo movie kwenye laptop
Hii inawezekana wakuu? Maana kila nikijaribu kutafuta mafile ya movie niliyodownload kwenye simu kutoka netflix siyaoni
Yaan kuangalia movie mpaka niingie kwenye app ya netflix tena, naombeni msaada tafadhali