Nawezaje kublock namba ya mtu asinipate akinipigia natumia nokia asha

Siyo deni jamani, kuna mshenzi fulani ananisumbua nimeshamwambia simtaki ananisumbua sana mpaka imekuwa kero mara sms, mara apige, mara abip. Mtu mwenyewe hata kutongoza hajui

Lakini si umuonjeshe tu, unaweza kukuta ni fundi kunako 6*6!
 
.
[MENTION]8116329[/MENTION] @C6
.
kwa sasa naona ui close tu hi thread mkuu au ipeleke MMU
.
.
 
Back
Top Bottom