SECONDLADY
Member
- Dec 22, 2013
- 14
- 12
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi

Dawa ya deni ni kulipa ndugu!!
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi
Si umwambue tu ukweli bidada...na yeye ana moyo wa nyama jaman...au kama ni deni si ulipe tu!?
Siyo deni jamani, kuna mshenzi fulani ananisumbua nimeshamwambia simtaki ananisumbua sana mpaka imekuwa kero mara sms, mara apige, mara abip. Mtu mwenyewe hata kutongoza hajui
MPE mzingo km kamaind kumnyima mwenzio dhambini pm namba yako nikutongoze, binadam bhana!!