Nawezaje kublock namba ya mtu asinipate akinipigia natumia nokia asha

SECONDLADY

Member
Dec 22, 2013
14
12
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi

Si umwambue tu ukweli bidada...na yeye ana moyo wa nyama jaman...au kama ni deni si ulipe tu!?
 
Si umwambue tu ukweli bidada...na yeye ana moyo wa nyama jaman...au kama ni deni si ulipe tu!?

Siyo deni jamani, kuna mshenzi fulani ananisumbua nimeshamwambia simtaki ananisumbua sana mpaka imekuwa kero mara sms, mara apige, mara abip. Mtu mwenyewe hata kutongoza hajui
 
watu bana badala kutoa maelekezo mnaanza kumzingua mwenzenu. . . .kwani mdaiwa pekee ndo hapendi mawasiliano na mtu fulani? . . .upuuzi
 
Hio simu ina featute hio lakin sio selective once u activate utafanya kila simu isiingie, bt kma ungekuwa na android ama samsung wana hizo blacklist services na ziko selective.
Lakini kuna baadhi ya hizo asha fake zina io service unaweza. toa maelezo zaidi hasa model ya simu yako.
Natumai umeelewa kidogo
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi

Install VAULT then unajisajili...yani hapo mtu yeyote unam-block km hutaki akupigie..ila akituma msg utasoma.
 
Kubadili line pia ni njia nzuri,lkn utapoteza marafiki,ndugu na jamaa wengi eti kwa sbb ya mtu mmoja ambaye hutaki kuwa na mawacliano naye?
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi

Kimlacho mwenzie ni kwamba kina njaa!
Wewe kuwa mstarabu sema naye kwa ukweli tu na bila shaka atakuelewa tu!
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch, nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi

sema kwa kuwa asha hazina play store,ungekuwa na device za android ungeweza kudownload kiulaini tu kupitia hyo store na ungemblock kiulaini sana
 
Simu za Nokia ni hovyo sana, zinashindwa hata na Tecno, huwezi ku black list a particular number pia kwa Nokia za double ilne kam Nokia Asha 501 huwezi kufunga line moja wakakati simu inatumika,Ata Nokia smart phones hazina programme za ku I- track inapoibiwa, mbaya zaidi Nokia Asha zina feature nyingi hazifanyi kazi. Hawa jamaa hawachunguzi mahitaji muhimu.

Ninakushauri tafuta simu ya aina nyingine kama huna pesa za smart phone nunua ata tecno ya 50,000 utaweza kum black list.
 
Siyo deni jamani, kuna mshenzi fulani ananisumbua nimeshamwambia simtaki ananisumbua sana mpaka imekuwa kero mara sms, mara apige, mara abip. Mtu mwenyewe hata kutongoza hajui

HAaaaaaaa kumbe jamaa hajui kutongoza basi nicheck kwa 0788756515 tutongozane vyema
 
Back
Top Bottom