Nawezaje kublock namba ya mtu asinipate akinipigia natumia nokia asha


Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,447
Likes
1,760
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,447 1,760 280
watu bana badala kutoa maelekezo mnaanza kumzingua mwenzenu. . . .kwani mdaiwa pekee ndo hapendi mawasiliano na mtu fulani? . . .upuuzi
Wote wanaojibu tofauti si watu wa jukwaa hili
 
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,228
Likes
49
Points
145
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,228 49 145
Kama kichwa cha habari
kinavyoeleza hapo, natumia simu aina ya simu Nokia Asha screen touch,
nimejaribu lakini nimeshindwa kuna mtu sitaki awasiliane na mimi
Ulimpa namba yako mwenyewe bila shuruti. Utajiju!
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,094
Likes
2,619
Points
280
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,094 2,619 280
Siyo deni jamani, kuna mshenzi fulani ananisumbua nimeshamwambia simtaki ananisumbua sana mpaka imekuwa kero mara sms, mara apige, mara abip. Mtu mwenyewe hata kutongoza hajui
Lakini si umuonjeshe tu, unaweza kukuta ni fundi kunako 6*6!
 
snipa

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
4,175
Likes
210
Points
160
snipa

snipa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
4,175 210 160
.
[MENTION]8116329[/MENTION] @C6
.
kwa sasa naona ui close tu hi thread mkuu au ipeleke MMU
.
.
 
Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Messages
7,762
Likes
4,862
Points
280
Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2010
7,762 4,862 280
Siyo deni jamani, kuna mshenzi fulani ananisumbua nimeshamwambia simtaki ananisumbua sana mpaka imekuwa kero mara sms, mara apige, mara abip. Mtu mwenyewe hata kutongoza hajui
Avatar yako tu!
 
Jogoo wa Shamba II

Jogoo wa Shamba II

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
2,579
Likes
4,336
Points
280
Jogoo wa Shamba II

Jogoo wa Shamba II

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
2,579 4,336 280
Bia zangu umekunywa hivyo nauliza unatoa hutoooii...
 

Forum statistics

Threads 1,251,171
Members 481,585
Posts 29,760,816