Nawezaje kuanzisha dini mpya? Naomba maoni

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,147
12,606
Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa.

Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic fallacy kinasema kuwa dini ni zao la binadamu kuogopa kufa na kujiona bora(egoism of specie). Sasa hii dini inatakiwa kumkweza binadamu, na zaidi sana kutoa majibu/matumaini juu ya kifo. Nafanikisha vipi hayo?

Pia inasemwa ili ifanikiwe inatakiwa kutisha na kuogopesha waumini wake dhidi ya kujitoa. Dini zote, uislamu, ukristo, umormon, scientology, hindu, buddha nk, zina hiki kipengele. Ni kazi sana kutoka. Nitafanikishaje hilo?

Naomba msaada na maoni mengine ya kujenga.
 
1) Andaa kwanza mazingira ya kumtambulisha "mnyaaz" wa dini yako, aanze kukushushia aya za kujifunua, na hatimaye atangaze kupitia kwazo wewe ndiye mtume wake pekee aliyekutuma.

2) Tafuta vifungu kutoka katika vitabu vya dini nyingine, ujenge hoja juu yake kuwa vyote vina utabiri juu ya ujio wa utume wako.

3) Anza kuhubiri mibaraka, starehe na utajiri kwa kila atayelisikia na kulifuata neno lako unalolihubiri. Tenganisha uzito wa dhambi ambapo ndogo ndogo utajipa uwezo wa kuzisamehe, ila kubwa kubwa itakupasa ukeshe na mwenye dhambi chumbani kwako usiku kucha (hasa akina mama ) ili apate utakaso wa kipekee kutoka kwa "mnyaaz" wako.

4) Weka wazi akaunti zako za benki na namba za simu yako, ambazo zitatumika kupokea sadaka, zaka na malimbuko kutoka kwa waumini wako.
 
Eti Malimbuko😀 siwezi kuwa na kitu kipya bila kuchukua maneno ya vitabu vilivyopo? Au dini mpya lazima ijengwe kwenye msingi wa ya zamani?
 
Wazo zuri sana..hizi dini zilizopo zimepitwa na wakati..we need something new..

Iendane na ulimwengu wetu wa sasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
mtaji wako kwanza ni Tsh ngapi?,nataka kujua hilo kabla sijakupa ushauri wa kuanzisha hiyo dini mpya
 
Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa.

Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic fallacy kinasema kuwa dini ni zao la binadamu kuogopa kufa na kujiona bora(egoism of specie). Sasa hii dini inatakiwa kumkweza binadamu, na zaidi sana kutoa majibu/matumaini juu ya kifo. Nafanikisha vipi hayo?

Pia inasemwa ili ifanikiwe inatakiwa kutisha na kuogopesha waumini wake dhidi ya kujitoa. Dini zote, uislamu, ukristo, umormon, scientology, hindu, buddha nk, zina hiki kipengele. Ni kazi sana kutoka. Nitafanikishaje hilo?

Naomba msaada na maoni mengine ya kujenga.
We sema tu unatibu umaskini na kuleta utajiri..tafuta na sample mmoja awe maiti umfufue
 
Eti Malimbuko siwezi kuwa na kitu kipya bila kuchukua maneno ya vitabu vilivyopo? Au dini mpya lazima ijengwe kwenye msingi wa ya zamani?
Mkuu kwa kuwa ni dini mpya unaweza kuja na mafunuo mapya. Mathalani zaka ukaita "bingo" sadaka ukaita "token" na malimbuko ukaita "bliss"
 
Back
Top Bottom