Nawezaje kuagiza bajaji kutoka nje ya nchi?

xungura

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
309
214
Habari Wanajamvi,

Kama kichwa cha habari kinavojieleza wakubwa naomba kuuliza tumezoea watu wakiagiza magari na vitu tofauti kutoka nje ila Kwa upande wa bajaj umekuwa tofauti Sana.

Chanel za uagizaji au ule Uhuru kama uliopo kwenye ununuzi wa magari haupo.

Naomba kuuliza ni njia ipi ya kuagiza bajaj kutoka nje India?
 
Ushuru wa bajaji bei gani? Maana katika calculator ya TRA pikipiki na bajaji hazipo. Watakukadiria.

Jamaa yangu aliagiza bajaji za umeme TRA walikua wanamsumbua coz walishindwa mkadiria kodi.

Hapa cha muhimu ungeanza kupata info TRA kuhusu kodi. Unaweza fika wakakuambia kodi Mil 4 na wewe umetumia Mil 4 hadi kuifikisha Tanzania. Sasa bora ukanunue Kariakoo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom