Nawezaje Ku PM

Mbona MTU akiniPM ninaweza kuapply
Sio kuapply ni kureply. Haya nakujibu sasa''' ukitaka kumPM mtu angalia hapo kushoto kwenye hoja unayotaka kuPM kuna neno Send PM click hapo utaweza hilo zoezi''
 
Bora umekuwa muungwana kujibu haja ya moyo wake. Barikiwa
 
Back
Top Bottom