Nawezaje ku download latest nigerian movies

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
796
250
Habarini.wadau naomba msaada nawezaje ku download Nigerian movies ambazo ni latest nimejaribu kutumia you tube ku download lkn zinakuwa hazipo in format nzuri kwa mfano kipande cha party one kinakuwa kwenye party two au unakuta.movie moja ina majina. Mawili ili uwezi kuangali yote lazima u download zote lkn bado znakuwa.hazipo kwenye format nzuri ya parts na mfuatano wa matukio..katika movie hyo msaada kwa. Anaye jua Asanteni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom