Nawezaje download movies kwenye android kwa data?

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,958
3,307
Napenda kutumia MB zangu kudownload movieis za nje mpya lakin kila nikifungua tu zinakuwa ni za kulipia vile. Pili sijajua app nzur ya kudownload na bila kulipia. Kwa mambo ya kawaida mengine natumia tubemate. Msaada tafadhar kwa wataalam.
 
Back
Top Bottom