bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 756
- 1,018
Wadau nipo Mbeya naishi about 17 km kutoka chuo kilipo. Je, naweza soma nikiwa natokea home daily kwa kutumia pikipiki? karibuni!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdudu nimemtoa kiongozi. ile 90000 imenizubaisha npo nawasimulia wanangu hadithi!Mauzi mengi mengi ya nini mdudu sikioni umeshamtoa? Elfu 9 yako iliyoliwa na panya umeitafutia suluhu?
ahsante mkuu kwa ushauri!Ndio unaweza.
km 17 kutokea chuo cha TIA.Upo mbeya sehemu gani na Ni chuo gani
Unaogopa wasio julikana....any way utaweza tuu ila mbeya hata geto unapanga tuukm 17 kutokea chuo cha TIA.
Aiseee we jamaa kichwa maji kinyama,sasa unatuuliza sisi na majibu unayo wewe,wadau nipo mbeya naishi about 17 km kutoka chuo kilipo. je naweza soma nikiwa natokea home daily kwa kutumia pikipiki? karibuni!!
ahsante kwa ushauri mzuri kaka!Ni wazo zuri na inawezekana ila ukimaliza miaka yote mitatu bila maajali ya pikipiki umshukuru Mungu. Pikipiki ni risk sana mdogo wangu, nakushauri upangishe chumba karibu na chuo ama ukae hostel. Nyumbani uende ukiwa hauna lectures ama wkend. Ni hayo tu.
Ifisi mkuu!Unaogopa wasio julikana....any way utaweza tuu ila mbeya hata geto unapanga tuu
Utaweza mkuuIfisi mkuu!
ahsante kwa kunipa moyo mkuu! coz olevel nilisoma 12km dail about 19 yrs ago!Utaweza mkuu