Naweza soma chuo kikuu nikiwa naishi umbali wa km 17?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
756
1,018
Wadau nipo Mbeya naishi about 17 km kutoka chuo kilipo. Je, naweza soma nikiwa natokea home daily kwa kutumia pikipiki? karibuni!!
 
wadau nipo mbeya naishi about 17 km kutoka chuo kilipo. je naweza soma nikiwa natokea home daily kwa kutumia pikipiki? karibuni!!
Aiseee we jamaa kichwa maji kinyama,sasa unatuuliza sisi na majibu unayo wewe,
Anyway ina depend na ratiba ya vipindi vyako,mazingira ya usalama kuendesha pkpk na hali ya hewa pia
 
Ni wazo zuri na inawezekana ila ukimaliza miaka yote mitatu bila maajali ya pikipiki umshukuru Mungu. Pikipiki ni risk sana mdogo wangu, nakushauri upangishe chumba karibu na chuo ama ukae hostel. Nyumbani uende ukiwa hauna lectures ama wkend. Ni hayo tu.
 
ahsante kwa ushauri mzuri kaka!
 
Vijana wa siku hizi mnakwama wapi miaka hiyo shule ya msingi tunatembea kilomita 15 kwenda shule 15 kurudi na ukichelewa kufika shule unakuka unakula stiki za kutosha na ukichelewa kurudi home unakula stiki pia
 
Kama mtu kama wew huwezi kufikiria juu yahili dogo chuo umedisco kabla hujaanza hunahaja yakwenda tena
Kitu kidogo kama hiki mpaka uje Jamii foramu
Wew nikiazi kabisa Bora ukae nyumbani ulime tu
 
Kilomita 17 ni chache sana, tena unaweza kuwa unaenda kwa baiskeli.

Vijana wa Tanzania, hebu tujitahidi kuwa wakakamavu katika maisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom