Chuo Kiko wpi na biashara iko wapi? Ni biashara gani? Unataka kusoma kitu gani na chuo kinaitwaje? Ukinijibu nitaendeleaNahitaji kwenda chuo na sitaki nichukue loan! Coz nna biashara yangu naingiza 150k per month
Ushauri wenu wasomi mlio pitia university
Tafuta ada nenda kasomeNataka nisome education.. Ada niltak nijikusanye kwny biashara yanguu hii hii
UDOM unaweza kuweka bili hata kwa mama wa ujasi unamlipa boom ikitoka fresh tuAsantee mkuu... Udom wanasema maisha cheap kuliko UDSM
Nataka nisome education.. Ada niltak nijikusanye kwny biashara yanguu hii hii
Inawezekana kabisa,haina shida. Sema hiyo biashara yako huyo utakayemwachia awe mwaminifu tu hela ipatikane kama vile mwenyewe upo karibuNahitaji kwenda chuo na sitaki nichukue loan! Coz nna biashara yangu naingiza 150k per month
Ushauri wenu wasomi mlio pitia university
Asante wazo zurii but open university wanasema ngumu kutoboaKama biashara inakupa 150k kwa mwez, basi hapo huwez endeleza biashara na chuo kwa pamoja maana utakayemuweka hapo hataweza kukupa pesa yako na yeye ajilipe na biashara ijihudumie mahitaji yake muhimu....
Kama unafanya education wewe jiunge Open University tu ndio utaweza kutoboa bila kuharibu biashara yako na biashara yako ibaki salama.
Nb: maana wew n mtu wa mambo mengi, hakikisha unajiwekea nidhamu ya kutosha ili utoboe kirahisi sana Open hasa kwa hayo masomo ya arts