Habari Wana jf,hivi naweza nikapata kiwanja Cha million 15 kawe??? Maana kinyerezi pamenishinda Bei za viwanja zipo juu mno kule
Noma
Umepata,sema jingineHabari Wana JF
Hivi naweza nikapata kiwanja Cha million 15 Kawe? Maana Kinyerezi pamenishinda Bei za viwanja zipo juu mno kule
Habari Wana JF
Hivi naweza nikapata kiwanja Cha million 15 Kawe? Maana Kinyerezi pamenishinda Bei za viwanja zipo juu mno kule
Goba ninacho cha sqm 625
Meter 500 kutoka lami.
Kipo square na chote kipo flatView attachment 1017586
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mdee Ana bwana???
Noma