Naweza kutumia youtube kosoma PCM,PGM,PCB ya A-level bila kwenda shule wala tuition na nikafaulu mitihani?

Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,010
2,000
Kwakweli masomo yote ya Science huwezi kusoma kama masomo ya Arts lazima uelekezwe/Ufundishwe na Mwalimu.

Vinginevyo utatumia muda mwingi sana kusoma na kujifunza, miaka miwili haitatosha...

Kwa technolijia inavyokua unaweza kujifunza kwa njia ya mtanda, lakini lazima kuwe na interaction ya Mwanafunzi.

Karibu iQ255 tukushauri vizuri namna ya Kisoma na kufaulu kuanzoa Primary, Secondary na High School.
Samahani mkuu iyo iQ255 inapatikana wapi
 

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
2,087
2,000
Habari zenu ndugu wana jakukwaa nimatumaini yangu muwazima na nitoe pole kwa wale walio patwa na matatizo mbambali na Mungu awafanyie wepesi ipatikane nafuu kwao.

Niende kwenye mada bila kukuchosha,imagine kuna mwanafunzi ambaye yeye anahitaji kusoma masomo ya sayansi ya level lakini mazingira aliyonayo yanamzuia kwenda shule au kusoma tuition eidha yuko mbali na shule za alevel au kipato cha kugharamikia masomo ni kidogo kwake nk.

Kuna uwezekano mwanafunzi huyu akatumia mtandao wa youtube kusoma topics za masomo yake na mwisho wa siku akafanya mtihani wa taifa na kufaulu.Karibu kwa mchango ndugu mwanajamvi.
We unauliza kwa ku-joke.
Haupo serious.
 

66KV

JF-Expert Member
May 16, 2014
463
1,000
Youtube kuna walimu wanajua kuliko mnavyodhani, nimewahi kusoma huko , uzuri huko hiyo physics ya youtube inafindishwa na maprof
Advanced math hasa CALCULUS google prof GILBERT STRANG, anajua anachozungumza na anachafundisha, huwez kwepa kbsa kuingia darasani youtube ni kwa ajili ya kucement knowledge
 

Majestic wolf

JF-Expert Member
Feb 10, 2015
1,244
2,000
Kutokuingia darasani ni hasara kwako. Walimu ndio wanaojua ufundishwe nini usifundishwe nini.....youtube na khan academy ni pazuri sana ila ni sehemu ya "kucement" knowledge kama alivyosema mdau mmojq hapo juu.......Usijidanganye kwa PCB darasa litakuhusu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom