Elections 2010 Naweza kutumia kalamu yangu kupiga kura?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,467
Nimejitafiti na kugundua sijawahi kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu Tanzania. Hivi naweza kutumia kalamu yangu kupiga kura? Je, kama naweza inatakiwa kuwa ya rangi gani? Au ilimradi niweke permanent mark/ tick kwenye karatasi?
 
Back
Top Bottom