Naweza kusoma upya somo la biology peke yake?

Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
265
225
Habari wana Jf,

Naomba kufahamishwa kama naweza kusoma upya somo la Biology O'level ili ku-replace somo la Geography kwenye cheti.

Hii ni kwa sababu mimi nilisoma Shule ya Ufundi.

Kwenye Shule hizi Biology au Geography huachwa kidato cha tatu ili masomo ya ufundi yachukue nafasi yake.

Mimi nilichukua Geography na masomo mengine ya kawaida pamoja na Ufundi.

Lengo langu nikwenda kusoma kozi za Afya.

Asante.
 
Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
407
500

Kozi za afya siyo biology tu zina hitaji chemistry na physics na kamwe

Siyo engineering amvayo shuke za ufundi inasomwa kama substution ya physics kwahiyo jiandae kisaikolojia na masomo yote hayo
 
katichi

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
2,036
2,000

Nilivomuelewa mimi Chemistry na Physics alifanya mtihani lakini Biology hakufanya akaopt Geography,binafsi nakushauri Fanya hiyo Biology nadhani kada ya afya ni nzuri
 
SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,665
2,000
Kozi za afya siyo biology tu zina hitaji chemistry na physics na kamwe

Siyo engineering amvayo shuke za ufundi inasomwa kama substution ya physics kwahiyo jiandae kisaikolojia na masomo yote hayo
uko shalo kichz .....hata waliosoma engeering Physics kwenye guide book ya NACTE wanakubaliwa kusoma course za afya ili mradi tu wawe na Biology na Chemistry
 
Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
407
500
uko shalo kichz .....hata waliosoma engeering Physics kwenye guide book ya NACTE wanakubaliwa kusoma course za afya ili mradi tu wawe na Biology na Chemistry
Nakuona we kipanga.......... endela kuonesha jinsi ulivyo physics substitution yake ni maths tu kwa medicine degree ila kwa diploma it doesnt matter lazima awe na physics anyway kila mtu anauelewa wake na kuna jinsi alivyoelewa guidebook ya NACTE na TCU
 
Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
265
225
Nakuona we kipanga.......... endela kuonesha jinsi ulivyo physics substitution yake ni maths tu kwa medicine degree ila kwa diploma it doesnt matter lazima awe na physics anyway kila mtu anauelewa wake na kuna jinsi alivyoelewa guidebook ya NACTE na TCU
kama Engineering science haichukuliwi kuwa na hadhi moja na Physics,kwanini aliyesoma somo hilo O'level,akienda A'level husoma Physics?
 
Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
265
225
Nilivomuelewa mimi Chemistry na Physics alifanya mtihani lakini Biology hakufanya akaopt Geography,binafsi nakushauri Fanya hiyo Biology nadhani kada ya afya ni nzuri
Upo sawa kabisa,sasa ishu ipo hivi,nilifanya masomo kumi kwenye form IV,itawezekana Geography kuondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Biology?
 
katichi

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
2,036
2,000
Upo sawa kabisa,sasa ishu ipo hivi,nilifanya masomo kumi kwenye form IV,itawezekana Geography kuondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Biology?
Navoisi inawezekana kabisa mimi mwenyewe ilitakiwa tufanye Masomo kumi na moja bahati mbaya food and nutrition hatukufanya lakini sizani kama NECTA wanalimit idadi ya masomo form four
 
Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
265
225
Navoisi inawezekana kabisa mimi mwenyewe ilitakiwa tufanye Masomo kumi na moja bahati mbaya food and nutrition hatukufanya lakini sizani kama NECTA wanalimit idadi ya masomo form four
poa poa,nitafuatilia ili kujua zaidi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom