Naweza kusoma diploma ya masomo ya sayansi hisabati nikipata F

ojala

New Member
Dec 5, 2020
1
0
Ndugu zangu mnisaidie naombeni ushauri wenu

Nimefanya mtihan wa form 4 aalafu malengo yangu ni kwenda chuo diploma

Tena napenda nisomee water management au laboratory technician

Lakini naona kabisa mathe matics nina enda kupata F

Ila mengine nitapiga tu vzur.
nisaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom