Naweza Kusafiri Dar to Moshi na gari ya Vitz?

Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Mimi siyo mzoefu wa magari (fundi).Ila nina uhakika hiyo gari inafika kilimanjaro bila shida.maana mara nyingi naziona hizo vits kwenye misafara ya IT zinapelekwa Congo au Zambia kwa kuendeshwa na huwa zinafika.so Moshi ni karibu ukilinganisha na huko zinakopelekwa hizo IT.Cha msingi jitathimini mwenyewe kama unaweza safiri umbali mrefu.pia hali ya gari yenyewe,unatakiwa pia kufanya service nzuri na tyres ikiwezekana badilisha.
pia usibebe uzito zaidi ya uwezo wa gari.ikiwepo kubeba watu wenye uzito mkubwa sana
 
Nina Vitz ya mwaka 2000 old model kwa miaka mingi sasa na nimeapa kutoiuza mpk ifie mikononi kwangu. Nina gari nyingine tatu. Kwa nini naipenda na kuiheshimu Vitz? Kwanza ni gari iko very economy kwenye mafuta (cc 990), pili ni gari ambayo spea zake ni rahisi sana kununua na pia hata kuitengeneza, tatu ni gari ngumu sana na wala haichoki kama gari ndogo nyingine, nne inaenda popote Tanzania tena bila wasiwasi wowote cha muhimu iwe nzima tu. Mtoa mada hapo Moshi tu karibu sana kwa hiyo gari tena new model ina cc kubwa nadhani ni 1200 au zaidi, Moshi unaweza kufika hata na pikipiki.

Mie Vitz uwa naendaga nayo Tanga kumuona mtoto shuleni na baada ya visiting nageuza kurudi Dar. Naitumia kwa kuwa iko economy na ndio gari nayotumia mara nyingi kwenye mizunguko ya hapa na pale mjini. Gari zingine anatumia mama na mimi siku moja moja au nikiwa nataka kurusha roho watu
Tanga! Shule gani huko? Nijuavyo watoto wako huwa wanasoma shule za Feza tu mkuu.

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Nina Vitz ya mwaka 2000 old model kwa miaka mingi sasa na nimeapa kutoiuza mpk ifie mikononi kwangu. Nina gari nyingine tatu. Kwa nini naipenda na kuiheshimu Vitz? Kwanza ni gari iko very economy kwenye mafuta (cc 990), pili ni gari ambayo spea zake ni rahisi sana kununua na pia hata kuitengeneza, tatu ni gari ngumu sana na wala haichoki kama gari ndogo nyingine, nne inaenda popote Tanzania tena bila wasiwasi wowote cha muhimu iwe nzima tu. Mtoa mada hapo Moshi tu karibu sana kwa hiyo gari tena new model ina cc kubwa nadhani ni 1200 au zaidi, Moshi unaweza kufika hata na pikipiki.

Mie Vitz uwa naendaga nayo Tanga kumuona mtoto shuleni na baada ya visiting nageuza kurudi Dar. Naitumia kwa kuwa iko economy na ndio gari nayotumia mara nyingi kwenye mizunguko ya hapa na pale mjini. Gari zingine anatumia mama na mimi siku moja moja au nikiwa nataka kurusha roho watu
" kurusha roho watu"
 
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Naomba kuuliza mleta mada, hizo vits vilizoko moshi zimefikaje?, Hebu tuamzie hapo
 
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Inawezekana ila inabidi uende na baiskeli pia ili kama Vitz inashika moto, unaiacha njiani na kuibeba na hiyo baiskeli yako usije lala njiani.
 
Wakuu naombeni kuuliza

Ni kwa wapi hapa dar naweza kupata kampuni inayosafirisha/ kubeba magari kupeleka Mwanza?

Mnisaidie jomoni

NB: mnipe na bei kabisa kwa gari yenye cc 3000
 
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Kama gari haichemshi inafika popote unapotaka
 
Back
Top Bottom