Naweza kurudia mtihani kwa masomo mawili tuu?

PAGAMECO

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
1,207
1,233
Habari zenu Wakuu Katika Matokeo Yangu ya Kidato Cha NNE nilipata F ya Mathe Na F Ya Physics na Sikufanya Paper La Chemistry Natamani nirudie mtihani Kwa Masomo Mawili P&Chemistry je Kanuni Za KURUDIA Zinasemaje je Naweza Kurudia Somo Moja au Mawili?
 
Hakuna idadi maalumu ya kurudia masomo ni wewe tu. Linaweza kuwa1,2,3 na kuendelea.
Kama umeamua kurudia, yote yanawezekana mtu asikukatishe tamaa kwani waliowahi kufaulu masomo hayo walikuwa na vichwa vingapi???!!!
 
Ahsante Mkuu kwa Ushauri

.."father G" the Golden Boy...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom