PAGAMECO
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,207
- 1,234
Habari zenu Wakuu Katika Matokeo Yangu ya Kidato Cha NNE nilipata F ya Mathe Na F Ya Physics na Sikufanya Paper La Chemistry Natamani nirudie mtihani Kwa Masomo Mawili P&Chemistry je Kanuni Za KURUDIA Zinasemaje je Naweza Kurudia Somo Moja au Mawili?