Naweza kupata wapi suti za mtindo huu

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,421
17,018
Wakuu habari.

Mimi ni mpeni wa vazi la suti mara moja moja kwa mwezi au event sio mbaya.

Sasa kuna huu muundo wa suti naona kama umenivutia.

Naomba kwa anaejua naweza kuzipata wapi kwa hapa Dar es Salaam.

Nimependa muundo wake wa kifuani.

20171101_122922.png

Ahsante.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom