NAWEZA KUPATA STUDENT VISA YA USA au CANADA BILA YA KUWA NA TOEFL,SAT na GRE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAWEZA KUPATA STUDENT VISA YA USA au CANADA BILA YA KUWA NA TOEFL,SAT na GRE

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by E52, Jun 12, 2012.

 1. E

  E52 Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nataka kwenda kusoma masters, sasa waungwana nauliza naweza kupata student visa ya usa au canada bila ya SAT, TOEFL na GRE ?
   
 2. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani inategemeana na chuo chako ila kwa uhakika zaidi nakushauri uende pale Ubalozi wa Marekani siku ya J3 or J5 kuanzia saa 8 mchana huwa kuna maelezo na maelekezo vya mambo ya vyuo.kila la kheri.
   
 3. E

  E52 Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  inshaalah wadau
   
Loading...