jofujulius09
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 105
- 50
Habar JF ningpenda kujua ivi kutoka diploma kwenda degree kwa kozi ya IT naweza chukua mkopo??.
Mkopo unaweza kuchukua bank yoyote kama unadhamana lakini kama unazungumzia kuomba mkopo bodi ya Mikopo ya elimu ya juu huko huchukui bila kupewa kutokana na kuwa na vigezo vinavyowaridhisha watoaji, Jaribu usikate tamaaHabar JF ningpenda kujua ivi kutoka diploma kwenda degree kwa kozi ya IT naweza chukua mkopo??.
Duuh kwan bod ya mikopo wanataka vigezo vp mkuuMkopo unaweza kuchukua bank yoyote kama unadhamana lakini kama unazungumzia kuomba mkopo bodi ya Mikopo ya elimu ya juu huko huchukui bila kupewa kutokana na kuwa na vigezo vinavyowaridhisha watoaji, Jaribu usikate tamaa
Noma sana aiseekwa siku za nyuma ungepata bila shaka,,lkn kwa experience ya mwk jana nina mashaka..