Wana JF
Kwa yeyote mwenye contact details za Professor Muhongo. Tanesco wamezidi kukata umeme Dodoma. Toka mwaka mpya kila siku wanakata na hawajawahi kutoa taarifa yeyote kwa watumiaji. Najua siyo Dodoma tu, lakini shida ya Dodoma inanihusu. This has to stop, wanafanya kama kamchezo fulani hivi! Asanteni kwa telephone number na email address.