Naweza kupata chuo kwa matokeo haya?

Undeceteris

Member
May 15, 2021
47
29
Kwa matokeo haya naweza pata chuo (EDE-hge) degree coz za biashara? Nmefany mtihan 2019, mwaka huu nmerudia economics can uhakika na matokeo yatakavyotoka mana pepa ilikaza sana
 
Kwa matokeo haya naweza pata chuo (EDE-hge) degree coz za biashara? Nmefany mtihan 2019,mwaka huw nmerudia economics can uhakika na matokeo Yatakavotoka mana pepa ilikaza sana

Digrii huwezi pata kwa matokeo hayo maana point hazitoshi,inatakiwa point 4 kwa masomo mawili hapo naona una point 3 kwa masomo mawili.Mwombe mungu upate point 2 au zaidi kwa somo ulilorudia otherwise ukasome diploma kwanza then utaendelea kwa kutumia chet cha diploma.
 
Pesa tatzo mana nmesom kwa kujtegemea sana SNA msaada chet Chang pia kina p €s
 
Back
Top Bottom