Naweza kumuoa huyu?

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Nimempenda mjukuu wa shemeji yake shangazi yangu.

Ninampango wa kumuoa but binamu zangu wananikatalia eti ndugu.

Jamani hebu nipeni ushauri hapa
 
Nadhani Binamu zako wanajua zaidi kuhusu mila na tamaduni zenu kuliko sisi.... kwahiyo sikiliza sababu wanazokupa alafu changanya na zako nadhani unapata jibu sahihi zaidi
 
nadhani binamu zako wanajua zaidi kuhusu mila na tamaduni zenu kuliko sisi.... Kwahiyo sikiliza sababu wanazokupa alafu changanya na zako nadhani unapata jibu sahihi zaidi

si dhani kama kuna mila yoyote hapa wananibania tu hawa
 
undugu uko wapi hapo? Mi naona unaweza kuoa tu

Hata miye sijaona undugu wowote hata binti haoni undugu wowote tumepanga undugu we hatuoni.

Tukaamua kuwatangaza.

Hapo ndipo vikwazo vianpoinuka
 
Kaka hapo kunajambo...........ila mi naona imani yako ndio inakufanya uoe au laa.........

Mi mkatoliki so siwezi kumwoa nikama ndugu kwangu.........

Kama we ni oustadhi u can..........go on mr...
 
si dhani kama kuna mila yoyote hapa wananibania tu hawa

Kweli huenda wana lao jambo.... Lakini kupata uhakika ebu uliza wazee, au watu wengine wakubwa wanaojua mila zetu ili upate baraka... si unajua hii issue inahitaji baraka.. mambo yasije kwenda kombo keshokutwa hawa watu wakasema tulikwambia ukakataa
 
kaka hapo kunajambo...........ila mi naona imani yako ndio inakufanya uoe au laa.........

Mi mkatoliki so siwezi kumwoa nikama ndugu kwangu.........

Kama we ni oustadhi u can..........go on mr...
mie mkatoliki mzuri sana .. Na binti pia mkatoliki.

Tumejaribu kupanga vizibo but hatuoni

hawa wakuu wamenikalia kooni tu .

Yeye ni mjukuu wa baba yao mkubwa .
 
Kwani mpaka ule zizi la nyumbani? Mbona inawezekana msichana mzuri na anayefaa kuwa mke wako yupo 5km kutoka hapo ulipo? Na mwingine yupo 200km. Mjukuu wa Shangazi yako, ni sawa na mjukuu wa Baba yako (Baba na Shangazi ni mtu na dada yake), na ni sawa na mtoto wako. Upo hapo? Genetically sio safi sana. Kama kuna inferior traits kwenye ukoo wenu, zinaweza kujitokeza kwa watoto wako.
 
Nimempenda mjukuu wa shemeji yake shangazi yangu.

Ninampango wa kumuoa but binamu zangu wananikatalia eti ndugu.

Jamani hebu nipeni ushauri hapa

we chapa 2..... ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni
 
Kwani wewe maeneo unayokaa hakuna mabinti wengine wanaofaa kuolewa na wewe???. Acha tamaa ya fisi. Inawezekana wanaokukataza wanajua kikwazo kiko wapi.
 
Labda nduguyo hawataki tu kusema... Undugu haupo ila kuna jungu kuu. :A S embarassed:
 
asiyeckia la mkuu... Usipende kupuuza ushaur wa wakbwa zako. Ww na hyo bnt hakna mlijualo dats y uliomba ushaur kw ndgzo, wackilze walchosema.
 
Kwani mpaka ule zizi la nyumbani? Mbona inawezekana msichana mzuri na anayefaa kuwa mke wako yupo 5km kutoka hapo ulipo? Na mwingine yupo 200km. Mjukuu wa Shangazi yako, ni sawa na mjukuu wa Baba yako (Baba na Shangazi ni mtu na dada yake), na ni sawa na mtoto wako. Upo hapo? Genetically sio safi sana. Kama kuna inferior traits kwenye ukoo wenu, zinaweza kujitokeza kwa watoto wako.

No more, umemaliza yote Nanren. NATA Baada ya kumuoa huyo binti, kunasiku utatembea na house girl wako unajifanya huoni undugu!!!
 
Mkuu inakubidi ufanye consultation pana kidogo na watu wazima kabla ya kufikia uamuzi. Zingatia kwamba wewe ni mtanzania mweusi ambapo undugu kwa kawaida unakuwa mpana sana! Hofu yangu ni kwamba pengine tayari mmeshavunja amri ya sita! Inabidi unapoomba ushauri uwe muwazi kuwaambia wazee kwamba tayari mmeshachakachuana vyakutosha....mnachohitaji ni kuhalalisha tu! Nakutakia kila la kheri kula tunda la mpwao!
 
Back
Top Bottom