Naweza Kukodi Nolinoli ya Polisi?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Polisi-1.png

Hii Nimeipata Jana Tu kwamba sasa unaweza kukodi nolinoli ya Polisi na ikakufagilia njia kama kiongozi ama msafara fulani hivi

Kuna ukweli?
 
Mkuu ukiwa unaeleka wapi sasa hadi ukodi hiyo nolinoli? Na sidhani kama ni kweli maana unaweza ukawa umeikodi magari yote yamewekwa kushoto na kulia kumbe wewe uliekodi ni wa chama chetu ukawa unaonyesha alama ya Victory (Peopleees) nadhani utashushwa na pesa yako urudishiwe..
 
hii ya mwisho nimeipenda.....nadhani kukodi ni kukodi hata kama unakwenda saluni
 
Mkuu ukiwa unaeleka wapi sasa hadi ukodi hiyo nolinoli? Na sidhani kama ni kweli maana unaweza ukawa umeikodi magari yote yamewekwa kushoto na kulia kumbe wewe uliekodi ni wa chama chetu ukawa unaonyesha alama ya Victory (Peopleees) nadhani utashushwa na pesa yako urudishiwe..
ukweli ni kwamba nasikia msiba fulani hivi wameikodi na ikasindikiza maiti na kusaidia sana kupangua magari ili kuwahi mazikoni
 
Nahitaji kukodi, nipeni taratib za kufuata kufanikisha hii
tafuta namba za RTOs ama nenda kaunta ya polisi utaambiwa taratibu

na ninadhani ni mojawapo ya njia ya kuongeza mapato yaani unalindwa kama unavyolindwa ukiwa na pesa nyingi
 
duh,
Ndio unakodi, kwa town trip bei haushuki 500,000
maana yake aliyeniambia alisema walikodi kuifuata maiti na kuileta kanisani kisha makaburini hiyo ni 1.5m?
 
Jamani msaidieni mwenzenu apate hivyo vinolinoli!Ila isijekuwa unavusha sembe kutoka mtaa mmoja kupeleka mwingine manake hivi sasa mmetaitiwa!
 
mkuu,
hii itakuwa huduma ya kawaida kama ile huduma ya usindikizaji pesa....

lkn wangetoa bei elekezi kuondoa urasimu.
 
ukweli ni kwamba nasikia msiba fulani hivi wameikodi na ikasindikiza maiti na kusaidia sana kupangua magari ili kuwahi mazikoni
Haya majungu sasa, huo msiba ulikua wa kiongozi wa kanisa la WASABATO uliokua wiki hii huko Dar Tanzania na haikukodishwa bali ilikua tu ni kwa sababu alikua na wafuasi wengi toka Tanzania nzima ndipo polisi wakaingilia kati
 
Back
Top Bottom