Duh urongoni tena kaka..Maana ni kutoka ulongoni b
Ili uweze kufaulu katika masomo yako comfortability ni suala la msingi, Gongo la mboto mpaka UDSM ni mbali, itakulazimu uwahi kuamka na utarudi late, sometimes hata saa tano usiku, hii ratiba itakufanya urudi umechoka, na inaweza ikawa tiketi ya kutokumaliza shule, kuliko kujipa kibarua cha kuamka mapema na kurudi late nyumbani, ni bora utafute malazi karibu na Chuo, ili uweze kusoma comfortable, nimeyaandika haya with my own experience on that!🙏🏼Kwann?
AsanteIli uweze kufaulu katika masomo yako comfortability ni suala la msingi, Gongo la mboto mpaka UDSM ni mbali, itakulazimu uwahi kuamka na utarudi late, sometimes hata saa tano usiku, hii ratiba itakufanya urudi umechoka, na inaweza ikawa tiketi ya kutokumaliza shule, kuliko kujipa kibarua cha kuamka mapema na kurudi late nyumbani, ni bora utafute malazi karibu na Chuo, ili uweze kusoma comfortable, nimeyaandika haya with my own experience on that!
AsanteUnaweza na unawahi kabisa isipokuwa watu wanakaa mvuti(mvuti ni baada ya chanika) wanafanya kazi makumbusho mwenge na kila siku wanaenda na kurudi ni mazoea tuu utapanda magari matatu au mawili kma unatokea ulongoni mana utapanda zile daladala zinazotokea mndani mpk gmboto mwisho then gongo la mboto mpk mawasiliano pale inategemea unaweza panda daladala au ukatembea za kukufikisha chuoni sehemu husika
nauri kwenda na kurudi si chini ya 2800/=
kutoka gmboto mpk mawasiliano asubuhi ni kati ya lisaa limoja mpk matatu kutegemea asubuhi unatoka saa ngapi hvyohvyo kurudi jioni ni masaa hayohayo kutegemea na muda utakaorudi
Unaweza mie niliishi kimara na nikasoma duce... Zipo gari za sm2000 to gongolamboto tena nyingi ni weee kuamka tu