Naweza kujiunga na vyuo vya ufundi kama vile d.i.t au mist n.k nikitokea veta??

lucas mkata

Member
Nov 28, 2016
12
4
habari zenu ...nilikuwa naomba kueleweshwa kuhusiana na hili mwakani natarajia kujiunga na chuo cha ufundi iringa kinachoitwa donbosco fani ya electrical installation swali langu ni je kama nikifanikiwa kuhitimu level 3 naweza kujiendeleza ktk vyuo vikubwa vya maswala haya ya ufundi kama vile mist,dit n.k kwa ngazi ya diploma???natanguliza shukrani.
 
Yaaa unaweza ingia kwenye website ya DiT utaona tena huwa wanataka Hata level 2
Nenda Hata veta kipawa wanatoa nawenyewe diploma...!!
 
unaweza kujiunga kama una qualification zinazokubalika ikihusisha ufaulu wa kidato cha nne wa nmasomo matano yakiwemo ya science at least mawili.
 
Back
Top Bottom